12 lines
558 B
Markdown
12 lines
558 B
Markdown
# Yehoyakimu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yehoyakimu alikuwa mfalme muovu aliyetawala ufalme wa Yuda, kuanzia mwaka 608 K.K. Alikuwa mwana wa mfalme Yosia. jina lake mwanzoni lilikuwa Eliakimu.
|
|
|
|
Farao wa Misri Neko alibadili jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu na kumfanya kuwa mfalme wa Yuda.
|
|
Neko alimlazimisha Yehoyakimu kulipa kodi ya juu kwa Misri.
|
|
Yuda ilipovamiwa baadaye na mfalme Nebukadreza, Yehoyakimu alikuwa miongoni mwao wale walikamatwa na kupelekwa Babeli.
|
|
Yehoyakimu alikuwa mfalme mwovu aliyeingoza Yuda mbali na Yahwe. Nabii Yeremia alitabiri dhidi yake.
|
|
|