12 lines
555 B
Markdown
12 lines
555 B
Markdown
# Yehoyada
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yehoyada alikuwa kuhani aliyemsaidia kumficha na kumlinda mwana wa mfalme Ahazia, Yoashi hadi alipofikisha umri wa kuweza kutangazwa kuwa mfalme.
|
|
|
|
Yehoyada alimpangia mamia ya walinzi kumlinda Yoashi alipokuwa mdogo wakati akitangazwa kuwa mfalmena watu hekaluni.
|
|
Yehoyada aliwaongoza watu kuondoa madhabahu yote ya mungu wa uongo Baali.
|
|
Maisha yake yote yaliyosalia, kuhani Yehoyada alimshauri mfalme Yoashi kwa kumsaidia kumtii Mungu na kuwatawala watu kwa hekima.
|
|
Mwanamme mwingine aliyeitwa Yehoyada alikuwa baba wa Benaya.
|
|
|