10 lines
355 B
Markdown
10 lines
355 B
Markdown
# Yehoyakimu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yehoyakimu alikuwa mfalme aliyetawala ufalme wa Yuda.
|
|
|
|
Yehoyakimu alikuwa mfalme alipokuwa na miaka 18. Alitawala miezi mitatu tu na baada ya hapo alikamatwa na jeshi la Babeli na kupelekwa Babeli.
|
|
Wakati wa utawala wake mfupi, Yehoyakimu alifanya uovu kama babu yake mfalme Manase na baba yake Mfalme Yehoyakimu alivyofanya.
|
|
|