10 lines
328 B
Markdown
10 lines
328 B
Markdown
# Myebusi, Yebusi
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Wayebusi walikuwa kundi la watu walioishi nchi ya Kanaani. Walikuwa uzao wa mwana wa Hamu, Kanaani.
|
|
|
|
Wayebusi waliishi katika mji wa Yebusi, ambalo jina lake lilibadilishwa baadaye kuwa Yerusalemu mfalme Daudi alipoutawala.
|
|
Melkizedeki, mfalme wa Salemu, inawezekana alikuwa Myebusi kwa asili.
|
|
|