10 lines
508 B
Markdown
10 lines
508 B
Markdown
# Hilikia
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Hilikia lilikuwa ni jina la kuhani mkuu katika kipindi cha utawala wa mfalme Yosia.
|
|
Hilikia alipata kitabu cha sheria, katika kipindi ambacho hekalu lilifanyiwa matengenezo na akamuru kitabu hicho kipelekwe kwa mfalme Yosia.
|
|
Baada ya kusomewa kitabu cha sheria, Yosia alihuzunika na aliwafanya watu wa Israeli kumwabudu Yahweh tena na kutii sheria zake.
|
|
Mtu mwingine aliyeitwa Hilikia alikuwa ni mwana wa Eliyakimu na alifanya kazi ikulu kipindi cha utawala wa mfalme Hezekia.
|
|
|