sw_tw/bible/names/hannah.md

490 B

Hana

Ufafanuzi

Hana alikuwa ni mama wa nabii Samwel. Alikuwa ni mmoja kati ya wake waili wa Elikana. Hana alikuwa tasa, alikuwa hawezi kuzaa mtoto. Hiki kilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa Hana. Hana alimwomba Mungu kwa bidii sana hekaluni ili apate mtoto. Hana alimwahidi Mungu kumtoa mtoto huyu ili amtumikie Mungu. Mungu alimpa haja yake na mtoto Samweli alipokuwa na umri wa kutosha, alimleta ili atumike hekaluni hekaluni.
Mungu alimpa Hana watoto wengine baada ya hayo.