sw_tw/bible/names/crete.md

10 lines
344 B
Markdown

# Krete, Mkrete
## Ufafanuzi
Krete ni kisiwa kilichokuwepo kusini mwa fukwe ya Ugiriki. Mkrene ni mtu aliyeishi katika kisiwa hicho.
* Mtume Paulo alisafiri katika kisiwa cha Krene akiwa katika safari zake za Kimishenari.
* Paulo alimuacha mfanyakazi mwenzake Toto huko Krene ili kuwafundisha Wakristo na kuwasaidia kuchagua viongozi huko.