sw_tw/bible/names/crete.md

344 B

Krete, Mkrete

Ufafanuzi

Krete ni kisiwa kilichokuwepo kusini mwa fukwe ya Ugiriki. Mkrene ni mtu aliyeishi katika kisiwa hicho.

  • Mtume Paulo alisafiri katika kisiwa cha Krene akiwa katika safari zake za Kimishenari.
  • Paulo alimuacha mfanyakazi mwenzake Toto huko Krene ili kuwafundisha Wakristo na kuwasaidia kuchagua viongozi huko.