sw_tw/bible/names/colossae.md

13 lines
732 B
Markdown

# Kolosai, Wakolosai
## Ufafanuzi
Katika agano jipya Kolosai ulikuwa mji katika Rumi nchi ambayo sasa ni kusini mangharibi mwa uturuki. Wakolosai ni watu walioishi Kolosai.
* Ilikuwa kama maili 100 toka bahari ya mediteraniani, Kolosai ilikuwa njia kuu ya biashara kati ya mji wa Efeso na mto Efrata.
* Alipokuwa gerezani Rumi Paulo aliandika barua kwa Wakolosai ili kusahihisha mafundisho ya uongo kati ya waamini waliokuwa Kolosai.
* Alipokuwa akiandika barua Paulo hakutembelea kanisa katika Kolosai lakini alisikia habari za waamini toka kwa mtumishi mwenzake Epafra.
* Epafra alikuwa mfanyakazi wa Kikristo aliyeanzisha kanisa Kolosai.
* Kitabu cha Filemoni ni barua ya Paulo kwa waliokuwa wakimiliki watumwa huko Kolosai.