sw_tw/bible/names/cherethites.md

11 lines
495 B
Markdown

# Wakerethi
## Ufafanuzi
Wakerethi walikuwa kundi la watu ambao walikuwa kama sehemu ya Wafilisti. Pia imeandikwa kama "Wakerethi."
* "Wakerethi na Waperisi" walikuwa kundi maalumu la maaskari kutoka jeshi la mfalme Daudi. ambao walikuwa wametengwa kwa ajili yake kama walizi.
* Benaya, mwana wa Yehoyada, mdau wa msimamizi wa watu wa Daudi, alikuw akiongozi wa Waperithi na Waperesi.
* Waperethi walibaki na Daudi wakati alipokuwa anakimbia Yerusalimu kwa sababu ya kuchukizwa na Absalomo.