sw_tw/bible/names/cherethites.md

495 B

Wakerethi

Ufafanuzi

Wakerethi walikuwa kundi la watu ambao walikuwa kama sehemu ya Wafilisti. Pia imeandikwa kama "Wakerethi."

  • "Wakerethi na Waperisi" walikuwa kundi maalumu la maaskari kutoka jeshi la mfalme Daudi. ambao walikuwa wametengwa kwa ajili yake kama walizi.
  • Benaya, mwana wa Yehoyada, mdau wa msimamizi wa watu wa Daudi, alikuw akiongozi wa Waperithi na Waperesi.
  • Waperethi walibaki na Daudi wakati alipokuwa anakimbia Yerusalimu kwa sababu ya kuchukizwa na Absalomo.