sw_tw/bible/names/bethshemesh.md

11 lines
427 B
Markdown

# Beth Shemeshi
## Ufafanuzi
Beth Shemeshi lilikuwa jina la mji wa Kikanaani kama kilometa 30 magharibi ya Yerusalemu.
* Waisraeli waliuteka mji wa Beth Shemeshi wakati wa uongozi wa Yoshua.
* Beth Shemeshi ulikuwa mji uliokuwa umetengwa kama sehemu ya makuhani Walawi kuishi.
* Wafilisiti walipokuwa wakilirudisha Yerusalemu sanduku la agano walilokuwa wameliteka, Beth Shemeshi ni mji wa kwanza waliposimama pamoja nalo.