sw_tw/bible/names/bethshemesh.md

427 B

Beth Shemeshi

Ufafanuzi

Beth Shemeshi lilikuwa jina la mji wa Kikanaani kama kilometa 30 magharibi ya Yerusalemu.

  • Waisraeli waliuteka mji wa Beth Shemeshi wakati wa uongozi wa Yoshua.
  • Beth Shemeshi ulikuwa mji uliokuwa umetengwa kama sehemu ya makuhani Walawi kuishi.
  • Wafilisiti walipokuwa wakilirudisha Yerusalemu sanduku la agano walilokuwa wameliteka, Beth Shemeshi ni mji wa kwanza waliposimama pamoja nalo.