11 lines
456 B
Markdown
11 lines
456 B
Markdown
# Benaya
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Benaya lilikuwa jina la watu kadhaa katika Agano la Kale.
|
|
|
|
* Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa miongoni mwa mashujaa wa Daudi. Alikuwa shujaa mwenye ujuzi na aliwekwa kuwa mlinzi wa Daudi.
|
|
* Sulemani alipotawazwa kuwa mfalme, Benaya alimsaidia kuwaaribu adui zake, hatimaye akawa jemedari wa jeshi la Israeli.
|
|
* Watu wengine wenye jina Benaya katika Agano la Kale ni pamoja na Walawi watatu: kuhani, mwimbaji, na mwana wa Asafu.
|
|
|