sw_tw/bible/names/beelzebul.md

11 lines
442 B
Markdown

# Beelzebuli
## Ufafanuzi
Beelzebuli ni jina lingine kwa Shetani, au mwasi. Wakati mwingine linaandikwa "Beelzebubu."
* Jina hili kwa kawaida linamaanisha "bwana wa nzi" kumaanisha, mtawala wa mapepe." Lakini ni vizuri zaidi kutafasiri neno karibu na herufi zake za asili kuliko kutafasiri maana.
* Ingeweza pia kutafasiriwa kama "Beelzebubu mwovu" kuweka wazi anayetajwa.
* Jina hili linahusiana na jina la Baal-Zebubu mungu wa Ekroni.