sw_tw/bible/names/beelzebul.md

442 B

Beelzebuli

Ufafanuzi

Beelzebuli ni jina lingine kwa Shetani, au mwasi. Wakati mwingine linaandikwa "Beelzebubu."

  • Jina hili kwa kawaida linamaanisha "bwana wa nzi" kumaanisha, mtawala wa mapepe." Lakini ni vizuri zaidi kutafasiri neno karibu na herufi zake za asili kuliko kutafasiri maana.
  • Ingeweza pia kutafasiriwa kama "Beelzebubu mwovu" kuweka wazi anayetajwa.
  • Jina hili linahusiana na jina la Baal-Zebubu mungu wa Ekroni.