sw_tw/bible/names/bashan.md

13 lines
636 B
Markdown

# Bashani
## Ufafanuzi
Bashani lilikuwa ni enea mashariki mwa Bahari ya Galilaya. Ilihusisha eneo ambalo kwa sasa ni sehemu ya Syria na milima ya Golani.
* Mji wa makimbilio katika Agano la Kale ulioitwa "Golani" ulikuwa katika eneo la Bashani.
* Bashani lilikuwa eneo lenye rutuba sana likijulikana kwa miti yake ya mitende na malisho ya wanyama.
* Mwanzo 14 inataarifu kuwa Bashani ilikuwa eneo la vita kati ya wafalme kadhaa na mataifa yao.
* Wakati Waisraeli wakitangatanga jangwani baada ya kutoka Misri, walichukua sehemu ya eneo la Bashani.
* Miaka kadhaa baadaye, mfalme Sulemani alipokea mahitaji kutoka katika eneo hilo.