sw_tw/bible/names/bashan.md

636 B

Bashani

Ufafanuzi

Bashani lilikuwa ni enea mashariki mwa Bahari ya Galilaya. Ilihusisha eneo ambalo kwa sasa ni sehemu ya Syria na milima ya Golani.

  • Mji wa makimbilio katika Agano la Kale ulioitwa "Golani" ulikuwa katika eneo la Bashani.
  • Bashani lilikuwa eneo lenye rutuba sana likijulikana kwa miti yake ya mitende na malisho ya wanyama.
  • Mwanzo 14 inataarifu kuwa Bashani ilikuwa eneo la vita kati ya wafalme kadhaa na mataifa yao.
  • Wakati Waisraeli wakitangatanga jangwani baada ya kutoka Misri, walichukua sehemu ya eneo la Bashani.
  • Miaka kadhaa baadaye, mfalme Sulemani alipokea mahitaji kutoka katika eneo hilo.