sw_tw/bible/names/barnabas.md

12 lines
460 B
Markdown

# Barnaba
## Ufafanuzi
Barnaba ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo aliyeishi wakati wa mitume.
* Barnaba alikuwa wa kabila ya Lawi na alikuwa mwenyeji wa kisiwa cha Mileto.
* Wakati Sauli (Paulo) anakuwa mkristo, Barnaba aliwasihi waamini wangine kumpokea kama mwamini mwenzao.
* Barnaba na Paulo walisafiri kwa pamoja katika miji mbalimbali ili kuhubiri injili.
* Jina lake lilikuwa Yusufu, lakini aliitwa "Barnaba," jina linalomaanisha "mwana wa faraja."