sw_tw/bible/names/barnabas.md

460 B

Barnaba

Ufafanuzi

Barnaba ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo aliyeishi wakati wa mitume.

  • Barnaba alikuwa wa kabila ya Lawi na alikuwa mwenyeji wa kisiwa cha Mileto.
  • Wakati Sauli (Paulo) anakuwa mkristo, Barnaba aliwasihi waamini wangine kumpokea kama mwamini mwenzao.
  • Barnaba na Paulo walisafiri kwa pamoja katika miji mbalimbali ili kuhubiri injili.
  • Jina lake lilikuwa Yusufu, lakini aliitwa "Barnaba," jina linalomaanisha "mwana wa faraja."