sw_tw/bible/names/barabbas.md

11 lines
349 B
Markdown

# Baraba
## Ufafanuzi
Baraba alikuwa mfungwa huko Yerusalemu wakati Yesu anakamatwa.
* Baraba alikuwa mwalifu aliyekuwa ametenda makosa ya kuuwa na uasi dhidi ya serikali ya Kirumi.
* Pontio Pilato alipotoa msamaha wa kumfungua kati ya Baraba au Yesu, watu walimchagua Baraba.
* Hivyo Pilato alimwacha huru Baraba, lakini akamhukumu Yesu auawe.