sw_tw/bible/names/barabbas.md

349 B

Baraba

Ufafanuzi

Baraba alikuwa mfungwa huko Yerusalemu wakati Yesu anakamatwa.

  • Baraba alikuwa mwalifu aliyekuwa ametenda makosa ya kuuwa na uasi dhidi ya serikali ya Kirumi.
  • Pontio Pilato alipotoa msamaha wa kumfungua kati ya Baraba au Yesu, watu walimchagua Baraba.
  • Hivyo Pilato alimwacha huru Baraba, lakini akamhukumu Yesu auawe.