sw_tw/bible/names/azariah.md

12 lines
490 B
Markdown

# Azaria
## Ufafanuzi
Azaria ni jina la watu kadhaa kwenye agano jipya.
* Aharia wa kwanza alijulikana sana kwa jina lake la Kibabiloni kama Abedinego. Alikuwa mmoja kati ya Waisraeli wengi toka Yuda waliokamatwa na jeshi la Nebukadneza na kupelekwa kuishi Babiloni.
* Mfalme Uzia wa Yuda pia alijulikana kama Azaria.
* Azaria mwingine alikuwa kuhani mkuu katika agano la kale.
* Katika kipindi cha nabii Yeremia, Azaria aliwataka Waisraeli wasimtii Mungu kwa kuondoka kwenye nchi yao.