sw_tw/bible/names/azariah.md

490 B

Azaria

Ufafanuzi

Azaria ni jina la watu kadhaa kwenye agano jipya.

  • Aharia wa kwanza alijulikana sana kwa jina lake la Kibabiloni kama Abedinego. Alikuwa mmoja kati ya Waisraeli wengi toka Yuda waliokamatwa na jeshi la Nebukadneza na kupelekwa kuishi Babiloni.
  • Mfalme Uzia wa Yuda pia alijulikana kama Azaria.
  • Azaria mwingine alikuwa kuhani mkuu katika agano la kale.
  • Katika kipindi cha nabii Yeremia, Azaria aliwataka Waisraeli wasimtii Mungu kwa kuondoka kwenye nchi yao.