sw_tw/bible/names/athaliah.md

11 lines
406 B
Markdown

# Athalia.
## Ufafanuzi
Athalia alikuwa mke mbaya wa Yehoramu mfalme wa Yuda. Alikuwa mjukuu wa mfalme muovu wa Israeli, mfalme Omri.
* Ahazia mtoto wa Athalia alikuwa mfalme baada ya kifo cha Yehoramu.
* Ahazia alipokufa, Athalia alipanga kuwauwa ndugu waliosalia wa familia ya mfalme.
* Lakini mjukuu mdogo wa Athalia Yoashi alifichwa na shangazi yake hivyo hakuuawa. Baadaye alikuwa mfalme wa Yuda.