sw_tw/bible/names/athaliah.md

406 B

Athalia.

Ufafanuzi

Athalia alikuwa mke mbaya wa Yehoramu mfalme wa Yuda. Alikuwa mjukuu wa mfalme muovu wa Israeli, mfalme Omri.

  • Ahazia mtoto wa Athalia alikuwa mfalme baada ya kifo cha Yehoramu.
  • Ahazia alipokufa, Athalia alipanga kuwauwa ndugu waliosalia wa familia ya mfalme.
  • Lakini mjukuu mdogo wa Athalia Yoashi alifichwa na shangazi yake hivyo hakuuawa. Baadaye alikuwa mfalme wa Yuda.