sw_tw/bible/names/aquila.md

12 lines
476 B
Markdown

# Akila
## Ufafanuzi
Alikuwa Mkristo wa kiyahudi aliyeishi Ponto.
* akila na Prisila waliishi Rumi, Italia kwa mda lakini ,tawala wa Rumi aliwafukuza kwa nguvu Wayahudi waondoke Rumi.
* Baada ya hayo Akila na Prisila walisafiri kwenda Korintho na kukutana na Paulo.
* walifanya kazi ya kutengeneza mahema na Paulo pamoja na kumsaidia kazi za kimisionari.
* Akila na Prisila waliwafundisha waamini ukweli kuhusu Yesu, mmoja wa waamini hao alikuwa mwalimu aliyeitwa Apolo.