sw_tw/bible/names/aquila.md

476 B

Akila

Ufafanuzi

Alikuwa Mkristo wa kiyahudi aliyeishi Ponto.

  • akila na Prisila waliishi Rumi, Italia kwa mda lakini ,tawala wa Rumi aliwafukuza kwa nguvu Wayahudi waondoke Rumi.
  • Baada ya hayo Akila na Prisila walisafiri kwenda Korintho na kukutana na Paulo.
  • walifanya kazi ya kutengeneza mahema na Paulo pamoja na kumsaidia kazi za kimisionari.
  • Akila na Prisila waliwafundisha waamini ukweli kuhusu Yesu, mmoja wa waamini hao alikuwa mwalimu aliyeitwa Apolo.