sw_tw/bible/names/amoz.md

10 lines
225 B
Markdown

# Amozi
## Ufafanuzi
Amozi alikuwa baba wa nabii Isaya.
* Ametajwa mara moja tuu kwenye Biblia Isaya akiwa anatambulishwa kama "mtoto wa Amozi.
* Jina hili ni tofauti na jina la nabii Amosi na linapaswa kutamkwa tofauti.