sw_tw/bible/names/amoz.md

225 B

Amozi

Ufafanuzi

Amozi alikuwa baba wa nabii Isaya.

  • Ametajwa mara moja tuu kwenye Biblia Isaya akiwa anatambulishwa kama "mtoto wa Amozi.
  • Jina hili ni tofauti na jina la nabii Amosi na linapaswa kutamkwa tofauti.