sw_tw/bible/names/ai.md

10 lines
437 B
Markdown

# Ai
## Ufafanuzi
Katika agano la kale, Ai lilikuwa jina la mji wa Kaanani uliopo kusini mwa Betheli na takribani kilometa 8 kaskazini mashariki mwa Yeriko.
* Baada ya kuishinda Yeriko, Yoshua anawaongoza Waisraeli kuiteka Ai. Lakini walishindwa kwa sababu Mungu hakupendezwa nao.
* Muisraeli aitwaye Akani aliiba nyara toka Yeriko na Mungu akaamuru kuwa yeye na familia yake wauawe. Kisha Mungu akawasaidia Waisraeli kuishinda Ai.