sw_tw/bible/names/ai.md

437 B

Ai

Ufafanuzi

Katika agano la kale, Ai lilikuwa jina la mji wa Kaanani uliopo kusini mwa Betheli na takribani kilometa 8 kaskazini mashariki mwa Yeriko.

  • Baada ya kuishinda Yeriko, Yoshua anawaongoza Waisraeli kuiteka Ai. Lakini walishindwa kwa sababu Mungu hakupendezwa nao.
  • Muisraeli aitwaye Akani aliiba nyara toka Yeriko na Mungu akaamuru kuwa yeye na familia yake wauawe. Kisha Mungu akawasaidia Waisraeli kuishinda Ai.