sw_tw/bible/kt/worthy.md

12 lines
611 B
Markdown

# stahili, yenye thamani ya, wasiofaa, isiyo na maana
## Ufafanuzi
"Stahili" linaelezea mtu au kitu kinachofaa kupewa heshima. "Kustahilisha" inamaana ya kuwa na thamani au muhimu. "isiyo na maana" inamaanisha isiyo na thamani.
* Kustahili inamaana ya kuwa na thamani au kuwa na umuhimu.
* Kutofaa imanaana ya kutostahili kuwa na nafasi maalumu.
* Kuhisi kutothaminiwani kuhisi huna umuhimu zaidi ya mtu mwingine.
* Maneno "wasiofaa" na "isiyo na thamani" yanaendana japokuwa yana maana tofauti. "Kutofaa" inamaana ya kutostahili heshima au kujulikana. "kutokuwa na maana" ni kutokuwa na thamani au lengo."