sw_tw/bible/kt/worthy.md

611 B

stahili, yenye thamani ya, wasiofaa, isiyo na maana

Ufafanuzi

"Stahili" linaelezea mtu au kitu kinachofaa kupewa heshima. "Kustahilisha" inamaana ya kuwa na thamani au muhimu. "isiyo na maana" inamaanisha isiyo na thamani.

  • Kustahili inamaana ya kuwa na thamani au kuwa na umuhimu.
  • Kutofaa imanaana ya kutostahili kuwa na nafasi maalumu.
  • Kuhisi kutothaminiwani kuhisi huna umuhimu zaidi ya mtu mwingine.
  • Maneno "wasiofaa" na "isiyo na thamani" yanaendana japokuwa yana maana tofauti. "Kutofaa" inamaana ya kutostahili heshima au kujulikana. "kutokuwa na maana" ni kutokuwa na thamani au lengo."