sw_tw/bible/kt/world.md

13 lines
520 B
Markdown

# Dunia, kidunia
## Ufafanuzi
Dunia ni sehemu ya ulimwengu ambapo watu wanaishi ndani yake. Kidunia inaelezea maadili na tabia mbaya za watu wanaoishi kwenye hii dunia.
* Dunia inajumuisha mbingu, nchi na vyote vilivyopo ndani yake.
* Katika sehemu nyingi "dunia" inamanisha watu wa duniani.
* Mara nyingine inaelezea kuwa watu waovu wa duniani au watu wasiomtii Mungu.
* Mitumi waliotumia "dunia" walielezea tabia za ubinafsi za watu wanaoishi kwenye dunia hii.
* Watu au vitu wenye tabia hizi waliitwa wa kidunia.