sw_tw/bible/kt/world.md

520 B

Dunia, kidunia

Ufafanuzi

Dunia ni sehemu ya ulimwengu ambapo watu wanaishi ndani yake. Kidunia inaelezea maadili na tabia mbaya za watu wanaoishi kwenye hii dunia.

  • Dunia inajumuisha mbingu, nchi na vyote vilivyopo ndani yake.
  • Katika sehemu nyingi "dunia" inamanisha watu wa duniani.
  • Mara nyingine inaelezea kuwa watu waovu wa duniani au watu wasiomtii Mungu.
  • Mitumi waliotumia "dunia" walielezea tabia za ubinafsi za watu wanaoishi kwenye dunia hii.
  • Watu au vitu wenye tabia hizi waliitwa wa kidunia.