sw_tw/bible/kt/works.md

13 lines
614 B
Markdown

# kazi, vitendo, matendo
## Ufafanuzi
Katika Biblia maneno kazi, vitendo, matendo ni vitu ambavyo Mungu au watu hufanya.
* Neno kazi linamaana ya kufanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watu wengine.
* Kazi ya Mungu na kazi ya mikono yake ni kazi zote anazzozifanya ikiwemo kuumba dunia, kuokoa wenye dhambi, kuwapatia mahitaji wale aliowaumba. Matendo ni miujiza ya Mungu kama "matendo makuu."
* Matendo anayofanya mwanadamu yaweza kuwa mazuri au mabaya.
* Roho mtakatifu anatatia nguvu waamini kufanya kazi njema ambazo huitwa "matunda mema."
* Watu hawaokolewi kwa kazi zao nzuri bali kwa imani yao kwa Yesu.