sw_tw/bible/kt/works.md

614 B

kazi, vitendo, matendo

Ufafanuzi

Katika Biblia maneno kazi, vitendo, matendo ni vitu ambavyo Mungu au watu hufanya.

  • Neno kazi linamaana ya kufanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watu wengine.
  • Kazi ya Mungu na kazi ya mikono yake ni kazi zote anazzozifanya ikiwemo kuumba dunia, kuokoa wenye dhambi, kuwapatia mahitaji wale aliowaumba. Matendo ni miujiza ya Mungu kama "matendo makuu."
  • Matendo anayofanya mwanadamu yaweza kuwa mazuri au mabaya.
  • Roho mtakatifu anatatia nguvu waamini kufanya kazi njema ambazo huitwa "matunda mema."
  • Watu hawaokolewi kwa kazi zao nzuri bali kwa imani yao kwa Yesu.