sw_tw/bible/kt/willofgod.md

11 lines
328 B
Markdown

# Mapenzi ya Mungu
## Ufafanuzi
Mapenzi ya Mungu ni kitu anachotamani Mungu au mipango.
* Mungu atafananisha mahusiano yake na watu na namna anavyotaka watu waitikie kwake.
* Pia mapenzi ya Mungu ni mipango yake kwa alivyoviumba.
* Mapenzi ya Mungu pia yanaweza kutafsiriwa kama "Kusudi la Mungu" au "Linalompendeza Mungu."