sw_tw/bible/kt/willofgod.md

328 B

Mapenzi ya Mungu

Ufafanuzi

Mapenzi ya Mungu ni kitu anachotamani Mungu au mipango.

  • Mungu atafananisha mahusiano yake na watu na namna anavyotaka watu waitikie kwake.
  • Pia mapenzi ya Mungu ni mipango yake kwa alivyoviumba.
  • Mapenzi ya Mungu pia yanaweza kutafsiriwa kama "Kusudi la Mungu" au "Linalompendeza Mungu."