sw_tw/bible/kt/trust.md

12 lines
586 B
Markdown

# imani, aminifu,
## Ufafanuzi
Neno "imani" la eleza kuamini kwamba kitu au mtu ni wa kweli au tegemeo. Mtu "mwaminifu" na weza kuwa tegemevu kufanya kitu na kusema kilicho sawa na kweli.
* Imani ni ina maana ya karibu na imani ya Mungu. Kama tuna mwamini mtu, tuna imani kwamba mtu huyo atafanya alicho ahidi.
* Kuwa na imani kwa mtu pia ina maana ya kumtegemea huyo mtu.
* Kumuamini Yesu ina maana ya kukubali kuwa yeye ni Mungu na kwamba alikufa kwenye msalaba kulipa dhambi zetu, na kumtegemea kutuokoa.
* "msemo aminifu" ni kitu kilicho semwa na kinaweza hesabiwa kuwa kweli.