sw_tw/bible/kt/thetwelve.md

11 lines
621 B
Markdown

# wale kumi na mbili, wale kumi na moja
## Ufafanuzi
Neno "wale kumi na mbili" la husu wanaume kumi na mbili Yesu aliyo wachagua kuwa wanafunzi wake wa karibu. Baada ya Yuda kujiua, waliitwa "wale kumi na moja."
* Yesu alikuwa na wanafunzi wengi, lakini jina "wale kumi na mbili" liliwa tofautisha waliyo mfuata kipindi chote cha miaka mitatu ya huduma.
* Majina ya hawa kumi na mbili yameorodheshwa katika Mathayo 10, Marko 3, na Luka 6.
* Wakati mwingine baada ya Yesu kurudi mbinguni, "wale kumi na moja" walimchagua wanafunzi jina lake Mathiasi kuchukuwa nafasi ya Yuda. Kisha wakaitwa "wale kumi na mbili" tena.