sw_tw/bible/kt/thetwelve.md

621 B

wale kumi na mbili, wale kumi na moja

Ufafanuzi

Neno "wale kumi na mbili" la husu wanaume kumi na mbili Yesu aliyo wachagua kuwa wanafunzi wake wa karibu. Baada ya Yuda kujiua, waliitwa "wale kumi na moja."

  • Yesu alikuwa na wanafunzi wengi, lakini jina "wale kumi na mbili" liliwa tofautisha waliyo mfuata kipindi chote cha miaka mitatu ya huduma.
  • Majina ya hawa kumi na mbili yameorodheshwa katika Mathayo 10, Marko 3, na Luka 6.
  • Wakati mwingine baada ya Yesu kurudi mbinguni, "wale kumi na moja" walimchagua wanafunzi jina lake Mathiasi kuchukuwa nafasi ya Yuda. Kisha wakaitwa "wale kumi na mbili" tena.