sw_tw/bible/kt/tetrarch.md

13 lines
627 B
Markdown

# liwali
## Ufafanuzi
Neno "liwali" la eleza afisa wa serikali aliye tawala sehemu ya Serikali ya Rumi. Kila liwali alikuwa chini ya mamlaka ya mfalme mkuu wa Kirumi.
* Cheo "liwali" lina maana "mmoja wa watawala wa nne waliyo ungana."
* Kwa kuanza na Mfalme Mkuu Diokletia, kulikuwa na migawanyiko minne ya Serikali ya Kirumi na kila liwali alitawala mmoja.
* Ufalme wa Herode "Mkuu", aliye kuwa mfalme wa kipindi cha kuzaliwa kwa Yesu.
* Kila mgawanyiko ulikuwa na moja au zaidi ya "mikoa" midogo, kama Galilaya au Samaria.
* "Herode liwali" anatajwa mara kadhaa katika Agano Jipya. Pia ujulikana kama "Herode Antipasi."