sw_tw/bible/kt/tetrarch.md

627 B

liwali

Ufafanuzi

Neno "liwali" la eleza afisa wa serikali aliye tawala sehemu ya Serikali ya Rumi. Kila liwali alikuwa chini ya mamlaka ya mfalme mkuu wa Kirumi.

  • Cheo "liwali" lina maana "mmoja wa watawala wa nne waliyo ungana."
  • Kwa kuanza na Mfalme Mkuu Diokletia, kulikuwa na migawanyiko minne ya Serikali ya Kirumi na kila liwali alitawala mmoja.
  • Ufalme wa Herode "Mkuu", aliye kuwa mfalme wa kipindi cha kuzaliwa kwa Yesu.
  • Kila mgawanyiko ulikuwa na moja au zaidi ya "mikoa" midogo, kama Galilaya au Samaria.
  • "Herode liwali" anatajwa mara kadhaa katika Agano Jipya. Pia ujulikana kama "Herode Antipasi."