sw_tw/bible/kt/sonofgod.md

13 lines
545 B
Markdown

# Mwana wa Mungu, Mwana
## Ufafanuzi
Neno "Mwana wa Mungu la husu Yesu, Neno la Mungu aliye kuja duniani kama binadamu. Anajulikana kama "Mwana."
* Mwana wa Mungu ana tabia moja na Mungu Baba, na ni Mungu timilifu.
* Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu yote ni maana moja.
* Tofauti na wana wa binadamu, Mwana wa Mungu alikuwepo siku zote.
* Mwanzo, Mwana wa Mungu alikuwepo katika uumbaji wa ulimwengu, pamoja na Baba na Roho Mtakatifu.
* Kwasababu Yesu ni Mwana wa Mungu, na penda na kumtii Baba yake, na Baba yake anampenda.