sw_tw/bible/kt/sonofgod.md

545 B

Mwana wa Mungu, Mwana

Ufafanuzi

Neno "Mwana wa Mungu la husu Yesu, Neno la Mungu aliye kuja duniani kama binadamu. Anajulikana kama "Mwana."

  • Mwana wa Mungu ana tabia moja na Mungu Baba, na ni Mungu timilifu.
  • Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu yote ni maana moja.
  • Tofauti na wana wa binadamu, Mwana wa Mungu alikuwepo siku zote.
  • Mwanzo, Mwana wa Mungu alikuwepo katika uumbaji wa ulimwengu, pamoja na Baba na Roho Mtakatifu.
  • Kwasababu Yesu ni Mwana wa Mungu, na penda na kumtii Baba yake, na Baba yake anampenda.