sw_tw/bible/kt/sanctify.md

461 B

takasa, utakaso

Ufafanuzi

Kutakasa ni kutenga kando au kufanya takatifu. Utakaso ni hatua ya kufanya takatifu.

  • Katika Agano la Kale, baadhi ya watu na vitu vilitakaswa, au kutengwa kando, kwa hudumu ya Mungu.
  • Agano Jipya lina fundisha kuwa Mungu anatakasa watu wanao mwamini Yesu. Hiyo ni kwamba, anawafanya watakatifu na kuwatenga kumtumikia.
  • Waamini katika Yesu wanaamriwa kujitakasa kwa Mungu, kuwa watakatifu katika kila kitu wanacho fanya.