sw_tw/bible/kt/sadducee.md

12 lines
565 B
Markdown

# Sadukayo
## Ufafanuzi
Masadukayo walikuwa kikundi cha makuhani wa Kiyahudi kipindi cha Yesu Kristo waliyo unga mkono utawala wa Warumi na ambao hawakuamini ufufuo.
* Masadukayo wengi walikuwa matajiri, Wayahudi wa daraja la juu waliyo shika vyeo vikubwa kama vile chifu kuhani na kuhani mkuu.
* Majukumu ya Masadukayo yali husisha kutunza hekalu na kazi za kikuhani kama kutoa dhabihu.
* Masadukayo na Mafarisayo walishawishi viongozi wa Kirumi kumsulubisha Yesu.
* Yesu alizungumza kuhusu haya makundi mawili ya kidini kwasababu ya ubinafsi na unafiki wao.