sw_tw/bible/kt/sadducee.md

565 B

Sadukayo

Ufafanuzi

Masadukayo walikuwa kikundi cha makuhani wa Kiyahudi kipindi cha Yesu Kristo waliyo unga mkono utawala wa Warumi na ambao hawakuamini ufufuo.

  • Masadukayo wengi walikuwa matajiri, Wayahudi wa daraja la juu waliyo shika vyeo vikubwa kama vile chifu kuhani na kuhani mkuu.
  • Majukumu ya Masadukayo yali husisha kutunza hekalu na kazi za kikuhani kama kutoa dhabihu.
  • Masadukayo na Mafarisayo walishawishi viongozi wa Kirumi kumsulubisha Yesu.
  • Yesu alizungumza kuhusu haya makundi mawili ya kidini kwasababu ya ubinafsi na unafiki wao.